SBT Bangladesh Magari ya kijapani yaliyotumika.

Customer Reviews

Why Choose SBT?

Wide Range Of Cars
Wide Range Of Cars

We’ve vehicles of all the brands you desire.

Available Where You Are
Available Where You Are

We’ve exported 500,000 used cars in over 152 countries.

Supporting You Anytime
Supporting You Anytime

Our support team are always connected with customers 24/7.

Uncompromised Quality
Uncompromised Quality

We do a thorough inspection before shipping so only quality is delivered to you.

Keeping It Reliable
Keeping It Reliable

With over 25 years in the industry, we focus on reliability resulting in 80% repeat purchases.

Offering Best Prices
Offering Best Prices

You can find a wide range of vehicles that are kept in your range.

Mpango wa kuagiza na maelezo

Usafirishaji

SBT Japani wanasfirisha magari kutoka bandari zote kubwa nchini Japani, Safari (Muda wa kusafiri baharini) itachukua takribani wiki 4-5. Tuna mikataba na kampuni zote kubwa za usafirishaji baharini ambao unatupelekea kupata bei za kuridhisha. Tunasimamia kwa makini taratibu zote za usafirishaji nje na kupanga meli kwa wateja wetu. Huduma yete ya mlango kwa mlango kila kitu kinatunzwa kutoka mnadani hadi katika eneo lako ulilotaka (Vyote vinaangaliwa, Nyaraka,Vyeti/Hati & pamoja na ada).

Bandari kubwa

Bandari ya Chittagong

Ratiba ya usafirishaji

Angalau kuna ratiba ya meli moja kwa wiki kutoka Japan kwenda Chittagong. Kwa hiyo kuna meli 4 hadi 5 za uhakiaka kusafirisha ili kuhakikisha tunafikisha mapema kulingana na hitaji la mteja.

Kanuni za Kuagiza

Kulingana na sera za uagizaji Bangladeshi, Kwa magari ya Biashara au SUV, Unaweza agiza gari moja isiwe chini ya miaka 5,kwa gari la abiria, Kwa gari la abiria unaweza agiza lisilopungua maiaka 3 toka ilipotengenezwa kiawandani..

Ushuru wa Forodha:

Muundo wa ushuru kwa gari unatokana na maagizo ya Serikali ya Bangladeshi. Ushuru unategmea na mambo makuu matatu.
Ukubwa wa Injini(CC)
Mwaka iliyotengezwa
Mseto au Kawaida
* Duty for commercial vehicles are different from regular unit which are to be known from custom house.

Utunzaji wa Nyaraka

Nyaraka zote muhimu zitatumwa kwa DHL Express kupitia anuani iliyoamliwa na mteja,Nyaraka hizo ni pamoja na : Nakala halisi ya B/L (Hati ya usafirishaji), Cheti cha kusafisiha nje(Tohan) na Ankara ya manunuzi.
* Extra available accessories (keys, navigation card) are also couriered to the customer.

malipo:

Malipo yote ni lazima yafike kwa akaunti Benki ya SBT nchini Japani tu. Unaweza tuma fedha kwa walengwa SBT Co. Ltd nchini Japani. Bonyeza hapa Kwa maelezo ya malipo.

Huduma maalum

Wakati gari mpya inapowasili katika hifadhi ya SBT, Gari hiyo itapitia ukaguzi wa msingi na wakaguzi wa yard yetu.Baada ya ukaguzi wafanyakazi wetu watachukua picha zote hadi kwenye injini na sehemu za ndani kwa ajili ya kumidhisha mteja.

Huduma ya kutafasiri:

Tafasiri ya ripoti ya mnada hufanyika kabla ya mnada kwa maombi ya mteja aliyesajiliwa. Wataalamu wetu hutafasiri ripoti ya mnada kwa makini kulingana na uelewa mzuri wa mteja juu ya gari husika, Mteja aliye tayari kutoa dhabuni.

Tunapeleka gari katika bandari inayotakiwa kulingana na mahitai ya mteja kwa maelezo aloyotoa SBT.

SBT Bangladesh - Profile

Jina la Nchi: Bangladesh
Meneja Mkuu: Roger Anthony Gomes
Anuani ya ofisi ya nchini mwako: Ahmed Tower (5th Floor), 28,30 Kemal Attaturk Avenue, Dhaka-1213, Bangladesh.
Namaba ya simu ya nchini kwako: +880-9666-779666
Barua pepe ya Ofisi: Bangladesh@sbtjapan.com
Pakistan Map

huduma ya Nyaraka za L/C

Tunapeleka Nyaraka zote za mauzo kwa wharaka kwa wateja wetu kulikomtu yeyote.

L/C Documentation Services

Maswali yanayoulizwa marakwamara

Q1. Je naa hitaji kibali toka Serikalini kuingiza gari nchini Bangladeshi?
Q2. Natakiwatuma pesa wapi ?
Q3. NI wapi nitaona Gari?
Q4. Nawezaje nunua Gari kutoka SBT?
Q6. Nawezaje nunua gari mnadani nchini Japani ?
Q7. Je gharama kiasi gani ili kuletewa gari hadi kwa uwanja wangu/Nyumbani ?
Q8. Na maswali zaidi .Nitafanyaje ?

SBT Bangladesh Timu

Wafanyakazi wa SBT

Sales Staff
Maafisa wetu wa Mauzo

Maafisa wetu wa mauzo wana furaha kuzungumza na wewe kirafiki

Inspection Yard
Wakaguzi wetu

Wakaguzi wetu wataliangalia gari lako kwa makini pindi linapofika kwa Hifadhi yetu

Auction Inspection
Wasimamizi wa Mnada

Wasimamizi wa Mnada wanakuhakikishia unanunua gari lililo katika kiwango cha juu

Wasiliana nasi.

 • Anuani ya Ofisi:
  Ahmed Tower, (5th Floor) 28&30 Kamal Ataturk Avenue, C/A, Banani, Dhaka

  Simu:
  +880-9666-779666​

  Barua pepe:
  bangladesh@sbtjapan.com

 • Japan Head Office

  Masaa ya Ofisi:
  Jumatatu - Ijumaa. 9 asubuhi - 5jioni

  Kufunga:
  Jumamosi,Jumapili na Sikuku za Umma

  Anuani ya Ofisi:
  KDX Yokohama-Nishiguchi Bldg. 7F,
  2-10-36, Kitasaiwai, Nishi-ku, Yokohama, Kanagawa, 220-0004, Japan

  Simu:
  (+8) 145-290-9485

  Nukushi:
  (+8) 145-290-9486

  Barua pepe:
  csd@sbtjapan.com