Sheria na Masharti

Hifadhi ya SBT

Itaje. Tunayo.

Magari ya aina nyingi yanapatikana kwako kuyanunua kwenye mtandao kupitia hifadhi ya SBT. Bei zimenukuliwa kwa FOB na C&F kulingana na maeneo mbali mbali.

Bei zetu zote zinaweza kujadiliwa na maulizo yote yanakaribishwa. Kama ungetaka kututembelea na kununua kutoka kwetu moja kwa moja, basi FOB au C&F inaweza kujadiliwa pia panapo maagizo.

Minada Japani

Talii ulimwengu wa magari!

SBT hupeana zaidi ya magari 200,000 kila wiki kwenye mtambo wetu wa mnada ulioko kwenye mtandao. SBT ushiriki kila siku kwenye minada kote nduniani. SBT hupokea taarifa ya minada na picha kutoka minadani kila siku. Maelezo haya yanawekwa kwenye e-motors na kupeanwa kwenye mtandao kupitia Ukurasa Wetu wa Mnada Mtandaoni.

Amana inayoweza kurejeshwa inahitajika ili kutuma zabuni ya moja kwa moja kwenye mtambo wa mnada kwenye mtandao. Kitengo cha Huduma kwa Wateja cha SBT (CSC) kinathibitisha kibinafsi hali ya amana ya kila mteja kwa muda wa mfululizo. Huduma zinapatikana 24/7. Zabuni inaposhinda; malipo yanahitajika ndani ya muda wa siku tano baada ya kununua kupitia Telegraphic Transfer (TT).

Masharti ya Biashara:

  • ・Mteja lazima awe amesajiliwa kwenye Tovuti yetu kabla ya kufanya biashara nasi. (Usajili ni bure kabisa!)
  • ・Hakuna amana inahitajika kabla ya kuthibitisha gari lolote katika hifadhi yetu.
  • ・Malipo nusu au malipo kamili yanahitajika ndani ya muda wa siku saba za kudhibitishwa kupitia Telegraphic Transfer (TT)
  • ・Amana inahitajika kabla ya kusafirisha shehena na salio lilipwe kabla ya kutoa nyaraka asili.
  • ・Bei zinaweza kuonekana pamoja na maelezo kamili ya magari pindi unapopata vibali vya kuingia kwenye tovuti.
  • ・Bei zinanukuliwa kwa Dola za Marekani (USD) na Yeni za Japani (JPY), aidha kwa mfumo wa C&F au FOB.
  • ・Wateja wanaweza kulipa kwa Dola za Marekani, Yeni za Japani, Yuro, Paundi na kadhalika.
  • Ukiagiza gari na ukatae baadaye unafaa kulipa 100000 yen (1000usd) sababu mteja anfaa kugharamia mauzo yote inayohitajika kuuza gari tena.

Udhamini

Tazama maelezo


Kundi la SBT pamoja na Kampuni ya SBT imeweka ishara ambayo itakomesha shughuli ambazo si za kutengeneza jamii bora na imekuwa ikichukua hatua za kutoa uhusiano ambao si wa kufainisha jamii. Imeandikisha pia kifungu ambacho kitaondoa hivi vitendo ambavyo si vya kuboresha katika mkataba wa manunuzi na kuuza.

Disclaimer

SBT Co., LTD and its associated Websites contains information for general information purposes only and on “as is” basis. Although we strive to keep all information up to date and precise, we do not endorse the accuracy, completeness, availability or reliability of any data or information pertaining to all goods and services and related graphics uploaded or distributed through the website including information or bulk mails and quotation mails. Website users acknowledge that any reliance placed on such information or data is strictly at the user’s sole risk.

Furthermore, SBT Co., Ltd. makes no warranty or representation of any content, goods and services provided through or in connection with linked websites. Any links included does not necessarily indicate recommendation or endorsement of any content provided in those links.

In no event will SBT Co., LTD, its affiliates, employees, agents and representative, be liable for any loss or damage including without limitation, indirect, consequential, incidental, punitive or any other loss or damage arising out of or in connection with the use of SBT website, its postings, its content or any errors or omissions in its content.

SBT Co., LTD. endeavors to keep the website up to date and running smoothly. SBT Co., LTD. reserves the right to make any improvements and changes including correction and omission in any portion of the contents of the website without notice and without incurring obligation.

Back to Top