SBT Tanzania Japanese used cars

Magari Maarufu Zaidi

Magari Yenye Punguzo Maalum

Magari Yaliyo Punguzwa Bei

Magari Ya Hivi Punde

Now on Air
Past broadcastIST Festival
Local Service Available in Tanzania

 • Car Sales
  Car Sales
  Our great sales are happy to deal with you.
 • Delivery
  Delivery
  We are happy to deliver your cars to city which the service is available.
 • Clearing & Forwarding
  Clearing & Forwarding
  Our great sales are happy to explain about Clearing & Forwarding. You do not have to worry anything.
 • Tax Consulting & Registration
  Tax Consulting & Registration
  We are familiar with Tax Consulting & Registration. So do not hesitate to ask about it.

Our Great Agent in Tanzania

Apple freight Forwarders Ltd,

Apple freight Forwarders Ltd,

Director: 
Joseph A. Towo
Address: 
P.P.F House, 5th Floor, Samora Avenue/Morogoro Road, P.O.Box 50135, Dar es Salaam,Tanzania.
Mobile: 
+255 713 123510
E mail: 
info@applefreight.co.tz
Website: 
www.applefreight.co.tz
Spare Parts Shop Allwan Trust

Spare Parts Shop Allwan Trust

Address: 
10721 plot63,block90 Kilwa st Ilala Dar Es Salaam Tanzania.
Mobile: 
0752865751

Huduma zetu za kutoa forodhani na kukufikishia

Tanzania

Bandari Itakayoshushwa:
Dar es Salaam

Bei (Iliyokadiriwa)

Kutoa Bandarini

Kuelekea Mpakani Ukubwa wa Gari (m3)
-9.99 10-11.99 12-13.99 14-14.99 15-15.99 16-16.99 17-17.99 18-25.99
Tanzania Bandari ya Dar es Salaam $170 $170 $170 $170 $170 $180 $180 $200

Huduma zetu za kutoa forodhani na kukufikishia

Kuelekea Bandari ya Dar es Salaam Ukubwa wa Gari (m3)
-9.99 10-11.99 12-13.99 14-14.99 15-15.99 16-16.99 17-17.99 18-25.99
Arusha Bandari ya Dar es Salaam $350 $350 $350 $350 $350 $400 $400 $450
Mwanza Bandari ya Dar es Salaam $450 $450 $450 $450 $450 $500 $550 $600
Kasumbalesa kasumbalesa $1,210 $1,150 $1,270 $1,305 $1,350 $1,400 $1,405 $1,750
Tunduma - Nakonde Tunduma - Nakonde $580 $600 $670 $700 $780 $840 $915 $1,050
Kasumulu - Songwe Kasumulu - Songwe $590 $610 $700 $730 $810 $855 $945 $1,075
Rusumo -Rwanda Rusumo -Rwanda $630 $660 $690 $740 $790 $810 $930 $1,120

1 -   Ushuru wa forodha wa nchi yako, gharama za upakuaji na uhifadhi bandarini na Wakala wa Meli katika nchi yako hazikuwekwa katika bei uliyonunulia. Ushuru wa forodha unatokana na ukadiriaji wa thamani ya CIF kulingana na orodha ya bei ya TRA. Gharama ya upakuaji na uhifadhi bandarini inatokana na makadirio ya forodha na dhamani ya CIF kulingana na orodha ya bei ya TPA. Gharama za wakala wa meli wa nchi yako zinatokana na taratibu na orodha ya bei kwa mujibu wa mamlaka ya nchi yako.

2 -   Gharama ya Uwakala wa Forodha inategemea ukubwa na thamani ya Gari lako, kuzingatia mita za ujazo (m3) na thamani ya CIF. Kwa hiyo, bei tuliyotoa katika tovuti ni makadirio ya awali ambayo yanakujenga ili ujiandae na gharama za ndani wakati gari lako litakapofika.

3 -   Pia tunatoa huduma ya kukufikishia gari lako katika nchi yako jirani na Tanzania ambayo haijaonyeshwa kwenye ramani yetu. Kwa maelezo zaidi wasiliana na ofisi zetu za Tanzania.

4 -   Kwa kujua taarifa ya gari lako Wafanyakazi/Wakala wa SBT watakutumia jedwali la taarifa ya meli wakati itakapong'oa nanga Japani na kuanza safari (ETD), hadi itakapotia nanga katika bandari yako wakati wa kufika (ETS). Taarifa za meli zinaweza badilika wakati wowote kutokana na sababu mbalimbali kama vile kuchelewa au matatizo yasio kusudiwa, hivyo tutakujulisha kuhusu mabadiliko na meli itakayofuata haraka iwezekanavyo.

5 -   Pia tunakuletea gari lako hadi katika Mkoa/Mji ulipo ndani ya Tanzania, kwa maelezo zaidi wasiliana na ofisi zetu za Tanzania. Watakuandalia utaratibu mzuri na wakala wa forodha aliyepitishwa na SBT kwa gharama nafuu ili kukupa amani na kukutoa hofu ya kuzungushwa na wakala asiye na vigezo na kiwango kinachorandana na huduma za SBT.

6 -   Nyaraka zinazotakiwa na SBT ofisi ya Tanzania kwa kukamilisha taratibu za forodha na kutoa gari lako. Utatakiwa ututumie kwa barua pepe nakala ya kitambulisho chako kama: Hati ya kusafiria, leseni ya udereva, kitambulisho cha uraia, kitambulisho cha ajira au kitambulisho chochote kinachotambuliwa na mamlaka za Serikali yako. Tunaweza pia tukasimamia usajili wa gari lako na kukupa usajili na kadi ya gari lako, kwa maelezo zaidi wasiliana na ofisi zetu za Tanzania.

Jinsi ya Kununua?

Bofya hapa kwa maelezo.

Testimonials
SBT Tanzania

Wafanyakazi wa SBT

 • Maafisa wetu wa Mauzo
  Maafisa wetu wa mauzo wana furaha kuzungumza na wewe kirafiki
 • Wakaguzi wetu
  Wakaguzi wetu wataliangalia gari lako kwa makini pindi linapofika kwa Hifadhi yetu
 • Wasimamizi wa Mnada
  Wasimamizi wa Mnada wanakuhakikishia unanunua gari lililo katika kiwango cha juu

Wasiliana nasi

 • SBT TANZANIA(Dar es Salaam)

  Muda wa Kazi:
  Jumatatu - Ijumamaa saa 9.00 asubuhi - 5.00 jioni
  Tunafunga:
  Jumamosi,Jumapili na Sikukuu
  Anuani:
  NHC House GF05 Samora Avenue / Zanaki Street, DAR ES SALAAM
  S . L. Barua 3267 Dar es Salaam, Tanzania
  Simu:
  +254-22-2110740
  Simu ya Mkononi:
  +255-766-263-008
  WhatsApp:
  +255-766-263-008
  Barua Pepe:
  tanzania@sbtjapan.com

 • SBT TANZANIA(Arusha)

  Office Hours:
  Mon.-Fri.: 9:00am-5:00pm
  Closed:
  Saturday, Sunday & Public Holiday
  Office Address:
  Unit 24 TFA Complex - Sokoine Road
  Mobile:
  +255-758-123-510
  WhatsApp:
  +255-758-123-510
  E-mail:
  tanzania@sbtjapan.com


 • Makao Makuu(Japan)

  Muda wa Kazi:
  Jumatatu - Ijumamaa saa 9.00 asubuhi - 5.00 jioni
  Tunafunga:
  Jumamosi,Jumapili na Sikukuu
  Anuani:
  KDX Yokohama-Nishiguchi Bldg. 7F,
  2-10-36, Kitasaiwai, Nishi-ku, Yokohama, Kanagawa, 220-0004, Japan

  Simu:
  +81-45-290-9485

Customer Support Team

Paul (Dar-es-Salaam Office)

Hassan (Arusha Office)
Dar-es-Salaam Sales Team

Amani

Baraka

Catherine-Lekule

Darius

Eneles

Frida

Imelda

Irene

Jackline

Jessica

Judith

Julieth

Lazzaro

Mosha

Moza

Nurudini

Wahabi

Yusuph
Back to Top