SBT South Africa Magari ya kijapani yaliyotumika.

Ramani ya huduma ya kupeleka

dr congo Map
Map

SOUTH AFRICA

Bandari kubwa

Durban

Maelezo ya ziada kuhusu kuagiza

Bandari kubwa

Durban

Gharama ya usafirishaji

Inategemea na ukubwa wa gari. Mfano (gari dogo $700,Sedan-$850, Van & small trucks $1000).

Kanuni za Kuagiza

Kuagiza gari iliyosajiliwa toka nje nchini Afrika kusini unahitaji upate kibali na barua toka mamlaka ya viwango ya Afrika Kusini (SABS)

kwa ujumla magari yaliyotumika hayaruhusiwi kuingia Afrika Kusini kwa mujibu wa sheria isipokuwa kwa magari yenye uhitaji maalum na michezo (Mfano Nissan GT-R n.k)

Tafadhali wasiliana na SABS kwa maelezo. https://www.sabs.co.za

malipo:

Mteja anatakiwa lipa 100% ya gari na gharana za usafirishaji kwanza

* Tax Rates depends on the type of vehicles. Please inquire at your local clearing agent for latest updates.

Mchakato wa forodha & taratibu za usajili

Nyaraka unazohitaji kwa mchakato wa forodha na usajili wa gari ni:

1) Cheti cha kufutwa [Vyote Kijapani & kwa Kiingereza].
2) Bill of Lading [Original 1st & 2nd].
3) Commercial Invoice.
4) Letter of Authorization [The letter confirming that you are giving legal rights to clearing agent to act on your behalf].
5) ID copy [e.g. own Passport copy].

[Hatua 1]

Tunakutumia nyaraka 1) - 3) kwa DHL (Cheti cha Kufutwa, Hati ya kusafirishia, na Ankara ya malipo).tafadhali andaa nyaraka4),5) wewe mwenyewe hapo juu.

[Hatua 2]

- Jiandae kwa wakala wa forodha wa nchini kwako.
- Arrange with the clearing agent for procedure. SBT have own designated clearing agent [i.e. Noble Shipping]. You may also arrange your own preferred agent.
- Documents you need are as mentioned above.

[Hatua 3]

Mara tu gari yako uliyonunua itakapofika bandari ya Durban, unatakiwa kuandaa taratibu za forodha.
SBT watakutambulisha kwa wakala wa forodha anayetambuliwa nasi anaitwa Noble Shipping, au unaweza tafuta mwenyewe wakala wa forodha kwa uhitaji wako.
Nyaraka unazotakiwa kwa wakala wa forodha ni barua ya utambulisho, kitambulisho cahko (kama Passport copy),na nyaraka 3 zilizoambatanishwa hapo juu (cheti cha kugahiri, Hati ya kusafirisha,Ankara ya malipo).

[Hatua 4]

Baada ya gari kuwasilisi nchini Afrika Kusini, kutakuwa na utaratibu wa kulipa ushuru, Polisi watakagua kwa ajili ya usajili,mamlaka ya usimamizi wa babara watatoa vibao vya namba. Wakala wa forodha nchini Afrika kusini atakushauri zaidi.

Kwanini umechagua SBT?

Wide Range Of Cars
Aina mbalmbali za magari

Tuna magari ya aina zote utakalohitaji

Available Where You Are
Yapo , huko wapi

Tunasafirisha magari yaliyotumika 500,000 zaidi ya nchi 152.

Supporting You Anytime
Tanakuunga mkano wakati wote

timu yetu ya wasaidizi kwa wateja imeunganishwa kuunga mkono wakati wote 24/7

Uncompromised Quality
Ubora usiobadilika

Tunafanya ukaguzi wa kina kabla ya kusafirisha kwa hiyo tunakuletea kilicho bora kwako

Keeping It Reliable
Kuweka kwa uhakika

kwa zaidi ya miaka 25 katika hii tasnia, tunazingatia uaminifu unaletea ununuzi unaojirudia kwa 80%

Offering Best Prices
Tunatoa bei nzuri

Unaweza kupata magari mengi ambayo yamehifadhiwa kwa wingi

Maswali yanayoulizwa marakwamara

Q1. Nawezaje nunua gari toka SBT ?
Q2. Kna sheria gani kuagiza gari nchini Afrika Kusini ?
Q3. Ni wapi nchini Afrika kusini naweza chukua gari ?
Q4. Ni utaratibu upi wa Malipo ?
Q8. Ni kiasi ghani kitaghrimu kwa huduma za ndani za forodha na usafirishaji ?
Q9. Ni nyaraka zipi zinahitajika kwa taratibu za forodha ?
Q10. Unatoa huduma yoyote ya bima kwa usafirishaji ?

Wafanyakazi wa SBT

Sales Staff
Maafisa wetu wa Mauzo

Maafisa wetu wa mauzo wana furaha kuzungumza na wewe kirafiki

Inspection Yard
Wakaguzi wetu

Wakaguzi wetu wataliangalia gari lako kwa makini pindi linapofika kwa Hifadhi yetu

Auction Inspection
Wasimamizi wa Mnada

Wasimamizi wa Mnada wanakuhakikishia unanunua gari lililo katika kiwango cha juu

Wasiliana nasi.

 • Japan Head Office

  Masaa ya Ofisi:
  Jumatatu - Ijumaa. 9 asubuhi - 5jioni

  Kufunga:
  Jumamosi,Jumapili na Sikuku za Umma

  Anuani ya Ofisi:
  Yokohama Plaza Bldg. 10F,
  2-6 Kinko-cho, Kanagawa-ku, Yokohama, Kanagawa 221-0056 Japan

  Simu:
  (+81) 45-290-9485

  Nukushi:
  (+81) 45-290-9486

  Barua pepe:
  csd@sbtjapan.com