- Nyumbani >
- SBT Pakistan

Magari maalum zaidi katika Pakistan
-
5BA-LA350S DAIHATSU MIRA ES
USD 5,190~ -
DBA-KSP130 TOYOTA VITZ
USD 2,610~ -
DAA-RU3 HONDA VEZEL
USD 10,500~ -
5BA-M700A TOYOTA PASSO
USD 6,530~ -
5BA-A200A TOYOTA RAIZE
USD 13,950~ -
HBD-DR17V NISSAN NV100CLIPPER
USD 2,740~ -
HBD-DA17V SUZUKI EVERY
USD 2,950~ -
5BA-KSP210 TOYOTA YARIS
USD 11,250~ -
DAA-MH55S SUZUKI WAGON R
USD 5,320~
mapya yameingia
-
TOYOTA AQUA
USD 11,470Maili: 61,000Utambulisho wa HifadhiZU7237 -
TOYOTA AQUA
USD 11,150Maili: 68,000Utambulisho wa HifadhiMD2953 -
TOYOTA AQUA
USD 10,960Maili: 23,000Utambulisho wa HifadhiRG5153 -
TOYOTA AQUA
USD 11,430Maili: 75,000Utambulisho wa HifadhiWL5500 -
TOYOTA AQUA
USD 11,200Maili: 61,000Utambulisho wa HifadhiDO9935 -
TOYOTA AQUA
USD 10,220Maili: 44,000Utambulisho wa HifadhiVW4844 -
TOYOTA SIENTA
USD 6,71013.97%Maili: 105,000Utambulisho wa HifadhiHK0188 -
TOYOTA C-HR
USD 15,920Maili: 29,000Utambulisho wa HifadhiDAJ2948 -
TOYOTA C-HR
USD 16,040Maili: 45,000Utambulisho wa HifadhiDAY7723
Hakiki za wateja.
Kwanini umechagua SBT?
Aina mbalmbali za magari
Tuna magari ya aina zote utakalohitaji
Yapo , huko wapi
Tunasafirisha magari yaliyotumika 500,000 zaidi ya nchi 152.
Tanakuunga mkano wakati wote
timu yetu ya wasaidizi kwa wateja imeunganishwa kuunga mkono wakati wote 24/7
Ubora usiobadilika
Tunafanya ukaguzi wa kina kabla ya kusafirisha kwa hiyo tunakuletea kilicho bora kwako
Kuweka kwa uhakika
kwa zaidi ya miaka 25 katika hii tasnia, tunazingatia uaminifu unaletea ununuzi unaojirudia kwa 80%
Tunatoa bei nzuri
Unaweza kupata magari mengi ambayo yamehifadhiwa kwa wingi
Kikokotozi cha ushuru
|
Mpango wa kuagiza na maelezo
Usafirishaji
SBT Japani wanasfirisha magari kutoka bandari zote kubwa nchini Japani, Safari (Muda wa kusafiri baharini) itachukua takribani wiki 4-5. Tuna mikataba na kampuni zote kubwa za usafirishaji baharini ambao unatupelekea kupata bei za kuridhisha. Tunasimamia kwa makini taratibu zote za usafirishaji nje na kupanga meli kwa wateja wetu. Huduma yete ya mlango kwa mlango kila kitu kinatunzwa kutoka mnadani hadi katika eneo lako ulilotaka (Vyote vinaangaliwa, Nyaraka,Vyeti/Hati & pamoja na ada)
Bandari kubwa
Karachi.
Ratiba ya usafirishaji
Angalao meli moja hufunga bandari ya Karachi toka bandari za Japani.hata hivyo meli 4 hadi 5 zinapatikana ndani ya mwezi kuhakikisha tnamfikishia mteja kulingana na hitaji lake.
Kanuni za Kuagiza
Kulingana na utaratibu wa uagizaji Pakistani, kwa magari ya biashara & SUV's, Moja unaweza agaiza gari chini ya miaka 5 toka kutengenezwa,Kwa magari ya abiashara kuingiza isiwe chini ya miaka 3 toka ilipotengenezwa.
Ushuru wa Forodha:
Muundo wa ushuru kwa kuagiza gari umeandaliwa na serikali ya Pakistani. Unatakiwa kulipa ushuru 100% wakati gari linapofika Bandarini. Ushuru umepangwa kuanzi chini cc 660,1000,1300,1500 na 1800. Zaidi ya hapo, kwa gari zenye zaidi ya cc1800, Ushuru unatokana na afisa forodha baada ya kukagua gari bandarini,kulingana na utaratibu wa Pakistani,ushuru kwa magari ya hybrid ushuru ni kidogo kwa 50% kulingana na gari la kawaida. Ushuru wa gari unategemea na vitu vitatu. Uwezo wa injini (CC)
Mwaka wa Matengenezo
Hybrid or normal
< span class="text-red">* Duty for commercial vehicles are different from regular unit which are to be known from custom house.
Utunzaji wa Nyaraka
Nyaraka zote muhimu zitatumwa kwa DHL Express kupitia anuani iliyoamliwa na mteja,Nyaraka hizo ni pamoja na : Nakala halisi ya B/L (Hati ya usafirishaji), Cheti cha kusafisiha nje(Tohan) na Ankara ya manunuzi.
* Extra available accessories (keys, navigation card) are also couriered to the customer.
malipo:
Malipo yote yanapaswa lipwa kwa walengwa SBT Co.Ltd huko Japan.Bonyeza hapa Kwa maelezo ya malipo.
Huduma maalum
Huduma mlango kwa malngo:
SBT wanatoa huduma ya mlango kwa mlango hupeleka kitengo cha manunuzi mahali popote kinapohitajika nchini Pakistani,Huduma hizi zinajumuisha usafirishaji gari kutoka yard hadi bandarini Pakistani (Karachi) kwenda mahali popote nchini Pakistani.
Ukaguzi wa msingi:
Wakati gari mpya inapowasili katika hifadhi ya SBT, Gari hiyo itapitia ukaguzi wa msingi na wakaguzi wa yard yetu.Baada ya ukaguzi wafanyakazi wetu watachukua picha zote hadi kwenye injini na sehemu za ndani kwa ajili ya kumidhisha mteja.
Huduma ya kutafasiri:
Tafasiri ya ripoti ya mnada hufanyika kabla ya mnada kwa maombi ya mteja aliyesajiliwa. Wataalamu wetu hutafasiri ripoti ya mnada kwa makini kulingana na uelewa mzuri wa mteja juu ya gari husika, Mteja aliye tayari kutoa dhabuni.
Huduma ya wakala:
Huduma ya forodha inafanywa kwa kuzingatia mahitaji ya mteja, Mawakala wetu wa forodha wa kuaminika hutoa huduma ya kuridhisha kwa mteja na kufanya taratibu za kupeleka gari kwa matifa.
huduma ya kukuletea:
Kunsafirisha gari inategemea na hitaji la mteja pia hutolewa na SBT. Mchakato huu unafanywa kwa usafirishaji wa ndani na gari lako hadi mahali mteja nahihitaji lifike.
Maswali yanayoulizwa marakwamara
Wafanyakazi wa SBT

Maafisa wetu wa Mauzo
Maafisa wetu wa mauzo wana furaha kuzungumza na wewe kirafiki

Wakaguzi wetu
Wakaguzi wetu wataliangalia gari lako kwa makini pindi linapofika kwa Hifadhi yetu

Wasimamizi wa Mnada
Wasimamizi wa Mnada wanakuhakikishia unanunua gari lililo katika kiwango cha juu
Wasiliana nasi.
-
Masaa ya Ofisi:
Jumatatu - Ijumaa. 9 asubuhi - 5jioniKufunga:
Jumamosi,Jumapili na Sikuku za UmmaAnuani ya Ofisi:
KDX Yokohama-Nishiguchi Bldg. 7F,
2-10-36, Kitasaiwai, Nishi-ku, Yokohama, Kanagawa, 220-0004, JapanSimu:
(+8) 145-290-9485Nukushi:
(+8) 145-290-9486Barua pepe:
csd@sbtjapan.com