Wasifu wa kampuni

Matarajio ya Kampuni:

Kufululiza huduma bora kwa wateja wetu kote ulimwenguni, na kulenga kuridhika kwa wateja kwa kutia bidii kila wakati pamoja na shauku kwenye sekta ya magari yaliyotumika.

Maono yetu:

Kukiwa na ukuaji wa kiuchumi miongoni mwa mataifa yanayoendelea pamoja na ufahamu wa kuhifadhi rasilmali, mahitaji ya magari yaliyotumika yataongezeka zaidi na zaidi. Huduma zetu zinazopatikana ndunia nzima zitasaidia na kukuza biahsra yako kulingana na mitindo ya kimataifa.

Sisi ni:

SBT ni mojawapo ya baadhi ya wauzaji wa magari wanaoongoza ambayo makao yake makuu yako Mjini Yokohama, Japani. Kila mojawapo ya magari tuliyonayo linanunuliwa baada ya ukaguzi wa kina kufanyika Japani, Korea Kusini, Marekani, Uingereza, au Ujerumani na wanunuzi wetu wenye jicho pevu na uzoefu. Kwa hivyo gari lolote tulilonalo linaweza kuwa gari lako la dhamana unaloweza kujichagulia. Mteja anaponunua gari, linasafirishwa mara moja ili limfikie mteja kwa muda mfupi iwezekanavyo kupitia ratiba zetu za rahisi na za kasi. Kwa sasa tunazo ofisi nje ya Japani katika mataifa ili kutoa huduma zetu zenye fahari kote duniani.
Tangu kuingia kwetu kwa mara ya kwanza katika biashara , tumeendelea kukua pamoja na mbinu zenye ubunifu, teknologia ilioimarika, na mitambo/ mifumo thabiti. Wateja wetu wanaweza kuchagua magari kupitia mitambo yetu ya utafutaji yenye uwezo wa juu kutoka kwa magari zaidi ya 20,000 tuliyonayo.
Tunazo ofisi za mauzo duniani kote na vituo vya huduma kwa wateja 24/7/365 ili kukusaidia na utaratibu wa kununua. Kila wakati tuko kwa zaidi ya kioo cha kompyuta yako ili kukusaidia!
SBT inapatia nafasi wateja waliosajiliwa kuweka zabuni kwenye minada ya magari, ambako unaweza kupata gari ulipendelealo. Wanunuzi wetu wenye jicho pevu na uzoefu wanaweza kuweka zabuni kwa gari ulilolichagua kwa niaba yako. Tunafanya ukaguzi wa kutosha kwa kila gari, kwa hivyo usitie shaka kuhusu ubora na hali ya gari, na utaridhika na gari lako.
Huwa hatulegezi kamba kwa juhudi zetu za kuwapatia wateja huduma bora zaidi, na kuzidi kulenga kuwaridhisha zaidi wateja wetu!

Jina la Kampuni: SBT CO., LTD.
Ilianzishwa: January, 1993
Mkurugenzi Mkuuna Rais wa Kampuni: Inami Taro
Makao Makuu: Yokohama Plaza Bldg. 10F, 2-6 Kinko-cho, Kanagawa-ku, Yokohama, Kanagawa 221-0056 Japan
Namba ya Simu: +81-45-290-9485
Namba ya Kipepesi: +81-45-290-9486
Ofisi: 2 Domestic Offices, 32 Overseas Office (as of November, 2022)
Idadi ya Wafanyakazi: 251(Domestic), 1,304(Overseas), Total 1,555 (as of February, 2019)
Maelezo ya Biashara: Usafirishaji na uuzaji wa magari na vifananavyo
Leseni ya kuuza vilivyotuika Kanagawa Prefectural Tume ya usalama wa umaa; hapana. 452740600252
Corporate Site: sbtjapan.co.jp
Matawi yake Japani: Noda Yard
4716 Funakata, Noda-shi, Chiba, 270-0233, Japan