SBT Malawi Magari ya kijapani yaliyotumika.

used cars for sale in malawi

Best Used Cars For Sale In Malawi

Looking for affordable used cars to explore the city? Search no more, used cars for sale in Malawi is the ideal option for you to get the best Japanese used cars at the lowest prices possible. SBT Japan offers a wide range of top imported used cars in all the cities of Malawi. Order your car from Blantyre, Lilongwe, Zomba, Mzuzu, or anywhere in Malawi, we can offer you a vast variety of branded second-hand cars to pick and pay for.

Sasa iko hewani

Kwanini umechagua SBT?

Wide Range Of Cars
Aina mbalmbali za magari

Tuna magari ya aina zote utakalohitaji

Available Where You Are
Yapo , huko wapi

Tunasafirisha magari yaliyotumika 500,000 zaidi ya nchi 152.

Supporting You Anytime
Tanakuunga mkano wakati wote

timu yetu ya wasaidizi kwa wateja imeunganishwa kuunga mkono wakati wote 24/7

Uncompromised Quality
Ubora usiobadilika

Tunafanya ukaguzi wa kina kabla ya kusafirisha kwa hiyo tunakuletea kilicho bora kwako

Keeping It Reliable
Kuweka kwa uhakika

kwa zaidi ya miaka 25 katika hii tasnia, tunazingatia uaminifu unaletea ununuzi unaojirudia kwa 80%

Offering Best Prices
Tunatoa bei nzuri

Unaweza kupata magari mengi ambayo yamehifadhiwa kwa wingi

Wakala wa forodha & huduma ya kupeleka

used cars in malawi
japanese used cars for sale in malawi
MALAWI
Bandari ya Kushushia / kutia nanga:
Dar es Salaam
Kutoka Jiji kupeleka kupitia Dar es Salaam:
Songwe
Kasumulu

Bandari ya Kushushia / kutia nanga:
Dar es Salaam
Kutoka Jiji kupeleka kupitia Dar es Salaam:
Lilongwe
Bandari ya Kushushia / kutia nanga:
Durban
Kutoka Jiji kupeleka kupitia Dar es Salaam:
Lilongwe

Makadirrio ya wakala wa forodha & Gharama za kupeleka Dar es Salaam Port

You can pay this City Delivery fee at your door step. Ask our sales person for more details such as Duty, VAT and Clearance charge.

Car Type Small Sedan Medium Sedan Large Sedan Small SUV Mini Bus / Van Mini Bus / Van Medium SUV Large SUV Micro Bus Others
Size - CBM 0-9.99 10-11.99 12-12.99 13-13.99 14-14.99 15-15.99 16-16.99 17-17.99 18-25.99 26 & Over
Delivery to Kasumulu $590 $610 $650 $700 $730 $810 $855 $945 $1,075 ASK
Delivery to Songwe $660 $680 $720 $770 $800 $880 $925 $1,015 $1,045 ASK
Delivery to Lilongwe $890 $920 $970 $1,040 $1,090 $1,195 $1,265 $1,380 $1,535 ASK
Delivery to Blantyre $1,010 $1,040 $1,090 $1,160 $1,210 $1,315 $1,385 $1,500 $1,655 ASK

[ Please note that the above prices are only available for customers who purchase at SBT Japan! ]

Maelezo ya ziada kuhusu kuagiza

Usafiri

Gari yako itasafirishwa kwa RORO kwa urahisi kidogo kupitia bandari za Dar es salaam na Durban,Gari inawekwa vizuri kwenye meli inayosafirisha na kuwa katika hali nzuri ili isiwe katika uharibifu mdogo. Pia kama tulivyosema hapo awali,pia hunapata huduma ya kupelekewa gari lako katika eneo lako kwa ushirikiano wetu na huduma ya wakala aliyepitishwa kutoa huduma kusafirihsa Smith Freight Forwarders hadi hadi katika Jiji lako,Ikitokea gari lako likpata uharibifu wakati wa kusafirisha, Smith Freight Forwarders watahakikisha wanatengeneza.Hata gari lako likipotea kabisa,SBT Japani wana uwezo wa kukurudishia kiasi kamili kupitia huduma yao ya Bima ambayo ulikeza wakati uliponunua gari wakati wa kuhifadhi gari! kwa maelezo zaidi juu ya huduma yetu ya dhamana tafadhali bofya hapa < a href ="http://www.sbtjapan.com/gpp" target="_blank">link

cheap cars for sale in malawi
Kanuni za Kuagiza

Ingawa magari yaliyotumika hayana kizuizi cha mwaka wa kuagiza, Lakini magari yote yenye zaidi ya miaka 8 toka kutrngenezwa yanakuwa na ushuru mkubwa wa forodha.Hivyo tunakushauri uwasiliane na mamlaka za nhcini kwako ili kuangalia gari ilitengenezwa mwaka gani kabla ya kuendelea na malipo,kama : aina,mwaka ,na kwa" mwaka iliyotengenezwa zinaweza tofautiana na SBT Japani haiwezi kuwajibika kwa hilo.Pia,ili kupata makadirio ya ushuru wa forodha (ambao haujajumuishwa katika bei zetu za kuuzia) amabao utatakiwa kulipa wakato wa kutoa gari lako bandarini. tafdhali bofya yafuatayolink

Nyaraka muhimu:

Kila nyaraka muhimuzitatumwa kwa DHL Express, Ikiwa pamoja na:

 • Hati ya kusafirishia
 • Cheti cha kusafirisha
 • Ankara ya malipo.
(Other documents might be included)

used car payment methods Mozambique
Kiwango cha malipo (50%.75%,100%) :

Kuanzia tarehe ya uhifadhi, Wateja wetu wapendwa wana siku mbili za kazi za kufanya malipo. Baada ya muda huifadhi utakuwa batili. Utaratibu wa usafirishaji utaanza baada ya kupokea malipo 75% hadi 100% kwa wanunuzi wa mara ya kwanza na 50% hadi 100% kwa wanunuzi wanaorudia.Katika tukio la kulipa (50% au 75%), Wateja wanaatakiwa lipa kiasi kilichobaki ndani ya siku tano za kazi baada ya gari gari kuondoka Bandarini.Kushindwa kulipa kwa muda huo itapelekea amana uliyoweka mara ya kwanza itashikiliwa bila masharti na haitarejeshwa na kupelekwa kitengo cha mauzo na hakutakuwa na rufaa yoyete. Pia wateja wetu wapendwa wanakumbushwa kuwa ada ya malipo italipwa na mteja mwenyewe na si SBT Japan.Kwa kushindwa kulipa malipo ya sehemu hasa ada za benki itasababisha usumbufu katika kusafirisha gari lako ulilohifadhi.Na mwishowe kuondolewa katika hifadhi kwa kushindwa kukamilisha malipo kamili kwa wkati.Tafadhali zingatia uwezo wako wa kulipia kabla ya uhifadhi. Kwani SBT Japan haitakubali madai yoyete.

Wafanyakazi wa SBT

Sales Staff
Maafisa wetu wa Mauzo

Maafisa wetu wa mauzo wana furaha kuzungumza na wewe kirafiki

Inspection Yard
Wakaguzi wetu

Wakaguzi wetu wataliangalia gari lako kwa makini pindi linapofika kwa Hifadhi yetu

Auction Inspection
Wasimamizi wa Mnada

Wasimamizi wa Mnada wanakuhakikishia unanunua gari lililo katika kiwango cha juu

Wasiliana nasi.

 • Masaa ya Ofisi:
  Mon.-Fri.: 8:30am-4:30pm
  Saturday-9:00am-12 noon

  Kufunga:
  Sunday & Public Holiday

  Anuani ya Ofisi:
  AUTOZONE - Lilongwe
  Golden Peacock Shopping Centre, First Floor, Shop
  no. 11, South Wing, Lilongwe

  Simu:
  +265-992047888

  Barua pepe:
  csd@sbtjapan.com

 • Masaa ya Ofisi:
  Mon.-Fri.: 8:30am-4:30pm
  Saturday-9:00am-12 noon

  Kufunga:
  Sunday & Public Holiday

  Anuani ya Ofisi:
  AUTOZONE - Blantyre
  Mabuku Building, Opposite Blantyre Post office,
  First Flour South Wing, Blantyre

  Simu:
  +265-993387181

  Barua pepe:
  csd@sbtjapan.com

 • Masaa ya Ofisi:
  Mon.-Fri.: 8:30am-4:30pm

  Kufunga:
  Weekends and Public Holidays

  Anuani ya Ofisi:
  AUTOZONE - Mzuzu
  Kentam Mall,next to Chipiku Plus

  Simu:
  +265-884130332

  Barua pepe:
  csd@sbtjapan.com

 • Japan Head Office

  Masaa ya Ofisi:
  Jumatatu - Ijumaa. 9 asubuhi - 5jioni

  Kufunga:
  Jumamosi,Jumapili na Sikuku za Umma

  Anuani ya Ofisi:
  Yokohama Plaza Bldg. 10F,
  2-6 Kinko-cho, Kanagawa-ku, Yokohama, Kanagawa 221-0056 Japan

  Simu:
  (+81) 45-290-9485

  Nukushi:
  (+81) 45-290-9486

  Barua pepe:
  csd@sbtjapan.com

Wakala wetu mkubwa nchini Tanzania

Apple freight Forwarders Ltd,

Apple freight Forwarders Ltd.

Mkurugenzi
Joseph A. Towo

Anuani:
P.P.F House, 5th Floor, Samora Avenue/Morogoro Road, P.O.Box 50135, Dar es Salaam,Tanzania.

Rununu:
+(25) 571-312-3510

Barua pepe:
info@applefreight.co.tz

Tovuti:
www.applefreight.co.tz