- Nyumbani >
- SBT Eswatini


Kwanini umechagua SBT?
Aina mbalmbali za magari
Tuna magari ya aina zote utakalohitaji
Yapo , huko wapi
Tunasafirisha magari yaliyotumika 500,000 zaidi ya nchi 152.
Tanakuunga mkano wakati wote
timu yetu ya wasaidizi kwa wateja imeunganishwa kuunga mkono wakati wote 24/7
Ubora usiobadilika
Tunafanya ukaguzi wa kina kabla ya kusafirisha kwa hiyo tunakuletea kilicho bora kwako
Kuweka kwa uhakika
kwa zaidi ya miaka 25 katika hii tasnia, tunazingatia uaminifu unaletea ununuzi unaojirudia kwa 80%
Tunatoa bei nzuri
Unaweza kupata magari mengi ambayo yamehifadhiwa kwa wingi
Ramani ya huduma ya kupeleka


ESWATINI
Bandari ya Kushushia / kutia nanga:
Durban
Kutoka Jiji kupeleka kupitia Durban:
Matsapha
Maelezo ya ziada kuhusu kuagiza
Bandari kubwa
Durban / Matsapha
Kanuni za Kuagiza
Kuendeshea kulia?:ndiyo.
na Mwaka wa kuzuiliwa?;Gari isiwe chini ya miaka 15.
Kiwango cha kodi:
Duties – 0% ~ 40%
VAT – 14%
* Tax Rates depends on the type of vehicle. Please inquire at your local clearing agent for latest updates. Roughly 50% of the value of the car.
malipo:
Mteja lazima alipe 100% ya malipo ya usafirishaji gari.
Mchakato wa forodha & taratibu za usajili
Nyaraka unazohitaji kwa mchakato wa forodha na usajili wa gari ni:
1) Cancellation Certificate [zote kwa Kijapani na Kiingereaz],
2) Bill of Lading [Original 1st & 2nd],
3) Commercial Invoice,
4) Export Bill of Entry (ED Notice)
5) Import permit/ certificate [An Import Permit that must be obtained prior to the shipment of the vehicle to Swaziland ],
6) Proof of payment
[Hatua 1]
Tutakutumia nyaraka namba.1) -4 kwa DHL i.e Cancellation Certificate, Bill of Lading, Invoice and Export Bill of Entry]. Tafadhali andaa nyaraka namba 5-6 wewe mwenyewe.
[Hatua 2]
- Jiandae kwa wakala wa forodha wa nchini kwako.
- Arrange with clearing agent for procedure.
- Documents you need are as mentioned above.
[Hatua 3]
Baada ya gari kuwasilisi nchini Swaziland, kutakuwa na utaratibu wa kulipa ushuru, Polisi watakagua kwa ajili ya usajili,mamlaka ya usimamizi wa babara watatoa vibao vya namba. Wakala wa forodha nchini Swaziland atasaidia kwa taratibu hizi.
Maswali yanayoulizwa marakwamara
Wafanyakazi wa SBT

Maafisa wetu wa Mauzo
Maafisa wetu wa mauzo wana furaha kuzungumza na wewe kirafiki

Wakaguzi wetu
Wakaguzi wetu wataliangalia gari lako kwa makini pindi linapofika kwa Hifadhi yetu

Wasimamizi wa Mnada
Wasimamizi wa Mnada wanakuhakikishia unanunua gari lililo katika kiwango cha juu
Wasiliana nasi.
-
Masaa ya Ofisi:
Jumatatu - Ijumaa. 9 asubuhi - 5jioniKufunga:
Jumamosi,Jumapili na Sikuku za UmmaAnuani ya Ofisi:
Yokohama Plaza Bldg. 10F,
2-6 Kinko-cho, Kanagawa-ku, Yokohama, Kanagawa 221-0056 JapanSimu:
(+81) 45-290-9485Nukushi:
(+81) 45-290-9486Barua pepe:
csd@sbtjapan.com