Sera ya Faragha

SBT CO., LTD. (“SBT”) recognizes the importance of social responsibility that it truthfully work to meet the needs of its customers and to contribute to the society. Habari ya kibinafsi inayopatikana kutoka kwa wateja wake wakatoi wa shughuli ya biashara ni mali muhimu ya wateja na SBT kwani inasababishwa kuunda kwa thamni mpya. SBT inalinda habar ya kibinafsi kutokana na vitisho vya usalama wa habari na sera ya msingi ifutayo na inakidhi matarajio ya mteja juu ya uaminifu wake kama kampuni. SBT imejitolea kushughulikia kwa uaminifu wa habari za kibinafsi.

(sera ya ulinzi wa habari ya kibinafsi)

1. SBT inazingatia sheria juu ulinzi wa habari za kibinafsi. Sheria juu ya mfumo wa usalama wa matumizi ya kijamii na nambari ya ushuru (pia inaitwa nambari ya mtu binafsi au nambari yangu”) Namba ya kumtambua mtu maalumu juu ya taratibu za kiutawala na sheria zingine zinazohusika.sheria na miongozo iliyoanzishwa na serikali na taratibu zingine.
2. SBT imeanzisha mfumo wa usimamizi wa kulinda habar I za kibinafsi na kumpa mtu nafasi nafasi ya “Msimamizi wa ulinzi wa habari binafsi” na kutekeleza utunzaji sahii wake.
3. SBT hutumia habari zakibinafsi ndani ya wigo wa matumizi yaliyokusudiwa ambay yanawasilishwa wazi kwa mteja na inachukua hatu aambazo hazitatumiwa zaidi ya upeo. SBT haifunuli au kutoa habari za kibinafsi zinazotolewa na mteja kwa mtu mwingine isipokuwa kwa idhini ya mteja mbaye hanri za kibinasi imepatikana kutoka kwake au wakati kuna sababu halali.
4. SBT inajitahidi kuzuia ufikiaji bila wa habari ya kibinafsi au kuvuja ,upotezaji ,uharibifu wa maelezo ya kibinafsi na inaongeza kila wakati kusimamia na kurekebisha usalama wa habari,.
5. SBT hujibu maswali ya juu ya maelezo ya kibinafsi au maombi kutoka kwa wateja kwa kufichua melezo yao ya kibinafsi kwa dhati na bila kuchelewa.
1. Maelezo binafsi

Habari ya kibinafsi inamaanisha habari zinazohusu mtumiaja kama mtu binafsi, ambayo inaweza kumtambua mtumiaji kwa jina,anuani,nambari ya simu,barua pepe ,taasisi na maelekezo mengine n,k. Kwa kuongeza habari yoyete inayoweza kumtambua mtumiaji pekee lakini inaweza kukusanywa na habari zingine kama, matokeo yake yanaeweza kumtambua mtumiaji, pia imejumuishwa katika wigo wa habari ya kibinafsi

*"Maelezo Binafsi" Ni ilivyoelezwa katika hii sera ya faraja isipokuwa maelezo maalumu ya kibinafsi,nk.2. Kusudi la ktumia maelezo ya kibinafsi.

SBT itatumia maelezo ya kibinafsi ndani ya wigo wa dhumuni lililootolewa katika kusudi la matumizi.
Dhumuni la matumizi limefafanuliwa kwa uwazi kwa wateja wetu, limetangazwa kwa wavuti yetu kama ilivyowekwa wazi hapo chini. SBT itafanya juhudi kupunguza dhumuni la matumizi kulingana na upatinaji wa habari.

 • (1) Kufikia kusudi maalumu la upatikanaji wa huduma na biashara yetu.
 • (2) Taarifa za za huduma n.k kwa wateja.
 • (3) kutoa taarifa kwa wanahisa ,utoaji wa aina anuai wa habari na usimamizi wa wanahisa kwa Wasimamizi
 • (4) Utekelezaji wa haki au utekelezaji wa majukumu kwa kulingana na sheria za Japani na kwa sheria nyingine zinazohusika
 • (5) Kujibu maswali,maombi, nk kutoka kwa wateja
 • (6) Kufanya shughuli zinazohusiana na (1) kupitia (5) hapo juu na kusimamia vizuru na kwa uafanisi Biashara ya SBT

Wakati wa kushughulikia maelezo binafsi zaidi ya upeo unahitajika kufikia kusudi la matuizi, SBT itaomba idhini ya mteja isipokuwa kesi zilizo chini aya ya 3 kufungu cha 16 cha sheria ya faraja.3. Utoaji wa Takwimu za kibinafsi kwa mtu mwingine

SBT haitatoa maelezo ya kibinafsi kwa mtu mwingine bila idhini ya mteja, isipokuwa pale ambapo yoyote yafuatayo yanatumika.:

 • (1) Inahitajika chini ya sheria au maagizo;
 • (2) Inahitajika kulinda maisha ya binadamu mwili au mali (pamoj vile vyombo vya kisheria) na ni vigumu kupata ridhaa ya mteja mwenyewe.
 • (3) Iliyotolewa kwa mhusika ndani ya wigo maalumu kwa kutekeleza biashara yetu
 • (4) Kwa kutumia maelezo ya kibinafsi kwa vikundi au kampuni au mshirika wetu wetu wa SBT ndani ya wigo uliokusudiwa
 • (5) Kutoa katika muundo amabao hauwezi patikana, maelezo ya kibinafsi katika muundo ambao hairuhusu utambulisho rahisi au utambuzi wa mtu anayehusika.


4. Kanusho dhidi ya utaoaji wa maelezo binafsi kwa watu wengine.

SBT haitahusika na upatikanaji kwa maelezo binafsi kupatikana kwa mtu mwingine ambapo yoyote yafuatayo yatatumika.

 • (1) Mtumiaji anaonyesha Bw/Bi mwenyewye anaonyeha maelezo yake binafsi kwa kampuni maalum. akifanya kazi yoyote chini ya huduma kwa njia nyingine. ( Kwa habari utunzaji maelezo binafsi katika huduma zinazotumia kampuni nk. Tafadhali kwa huhitaji moja kwa moja kwa kila huduma kwa kutumia kampuni nk..);
 • (2) mtumiaji hutambuliwa bila kutarajia na habari iliyoingizwa na mtumiaji chini ya huduma;
 • (3) Mtumiaji hutoa maelezo ya kibinafsi kwa, na maelezo binafsi hutumiwa na tovuti ya nje iliyounganishwa na huduma, au
 • (4) Mtumwingine yoyote mtumiaji anweza pata maelezo ya kutumia (Id,nenosiri,nk) ambayo inaweza kumtambua mtumiaji kama mtu binafsi.
 • (5) Kwa kuongza hapo juu, Habari za kibinafisi zimevuja na vairasi wa komputa au sababu zinazofanana.


5. Usimamizi wa mkandarasi

SBT inaweza kupeleka yote au sehemu maalumu ya utunzaji wa habari za kibinafsi za wateja wetu katika hali kama hiyo. SBT itachagua mkandarasi ambaye atashughulikia kikamilifu maelezo ya kibiafsi. Akieleza ipasavyo mambo yanayohusu utunzaji wa habari kibinafsi kama vile hatua za usimamizi wa usalama ,usiri ,masharti ya utumiaji mpya. katika usimamizi ulio makini na unaofaa kwa utunzaji habari6. Utunzaji makini wa habari nyeti

SBT haitakusanya, kutumia, au kutoa habari nyeti kwa mtu wa tatu. lakini si mdogo kwa utunzaji wa habari na historia ya maelezo yako,Isipokuwa kesi zinazotolewa na sheria ya faraja ,sheria zingine zinahusika na miongozo ya sheria.7. Kutunza maelezo maalumu ya kibinafsi, nk

Kusudi la kutumia habari maalumu za kibinafsi, nk. Imepunguzwa chini sheria yangu na SBT haitakusanya au habari maalum za kibinafsi,nk. Zaidi ya kusudi la matumizi.
Hatutatoa habari maalumu za kibinafsi nk. Kwa mtu wa tatu isipokuwa kwa kibali chini ya sheria yangu namba.8. Ilani mswaada ,ufunuo ,marekebisho au kwa matumizi ya habari maalu na habari maalumu ya kibinafsi nk.

Maombi kwa mteja kwa ilani yoyote ya mabo ya ufichuzi au marekebisho nk, kwa utumiaji maelezo ya habari za kibinasi au habari maalumu ya kibinafsi nk, iliyoshikiliwa na SBT chini ya sheria ya faraja itaelekezwa kwa SBT chini ya sheria ya faraja itaelekezwa kwa "kuwasiliana na ofisi " inayoonyeshwa katika kifungu cha 11 hapo chini. Baada ya kumthitisha mteja kama chama kinachoomba mteja anaombwa kujaza fomu iliandaliwa na sisi, SBT itafuata taratibu na kanuni na itatoa majibu ya maandishi kwa nia sahii kwa wakati unaofaa . SBT itatoza ada zilizowekwa kwa ufichuzi wowote.9. Matumizi ya vidakuzi

SBT hutumia kuki kutoa huduma bora katika wavuti yake. Tafadhali angalia cookie policy.10. Usimamizi wa takwimu wa kibinafsi na habari maalumu ya kibinafsi n.k

SBT itachukuwa hatua za kiusalama kusimamia hari na habari maalum za kibinafsi, nk. kwa usalama na kuzuia utangazaji upotevu wa habari na habari maalumu za kibinafsi nk, zinazosimamimiwa na SBT na itahakikisha inatoa kwa usahiihii kwa wakati na haraka maelezo ya kibinafisi na habari maalumu za kibinafsi ambayo ni muhimu kufikia kusudi la maelezo kwa matumizi..11. maelezo ya mawasiliano

SBT itajibu ipasavo na maramoja kwa malalamiko yoyote au mashauriano kuhusu utunzaji wa habari maalumu na habari maalumu za kibinafsi nk.
Iikiwa huna maswali yoyote au jambao la kushauriana juu ya kutunza habari za kibinafsi au maalum nk. Tafadhali wasiliana na Ofisi kama ivyoonyeshwa hapo chini.

Wasiliana na Ofisi
SBT CO., LTD.
Simu:+81-45-290-9480 Faksi:+81-45-290-9481
Barua pepe:hrjp@sbtjapan.com12. Pitia sera za faraja

SBT hufanya utunzaji wa habari ya kibinafsi kulingana na sheria na mazoea mengine ya kawaida, na inajitahidi kila mara kufanya maboresho ya shughuli zilizo hapo juu bila ya ilani yoyote ya hapo awali ser ya faraja inaweza kurekebishwa kulingana na marekebisho ya sheria. Tutachapisha mabadiliko ya sera hii ya faraja na kusasisha tarehe ya kuanza kazi kwa sera hii ya faraja.13. Nyingine

Toleo la sera hii ya faraja imeandaliwa kwa kijapani . Ikitokea tofauti yoyote kati ya lugha zingine kati ya Kijapani, basi kijapanai kitatawala.

Matumizi ya wavuti na ufafanuzi wa yaliyomo kwenye wavuti yataongozwa na sheria za Japani.
ikiwa mzozo wowote utatoka au utatokea kuhusiana na wavuti, inakubaliwa kuwa usikilizaji wa kwanza unasikilizwa kwa mahakama ya Wilaya ya Yokohama.