Jinsi Ya Kununua

Hatua 1: Agiza

Chagua gari unalotaka nunua.
Utachagua kwenye injini yetu na utapata msaada wa kutafuta kutoka katika hifadhi zetu.

Pia unaweza kutahisisha kuchagua kutokana na hitaji lako na upendeleo wako. Maelezo , Picha na utambuzi vinapatikana kwa kina kwa kila hifadhi.

Hatua ya 2: Nunua sasa

weka taratibu ya kununua kuonyeshakama Nchi ya kushushia,Banadari itaykayoshushwa n.k

No bonyeza "Nunua sasa"

Hatua 3: Fanya malipo

-BANK WIRE TRANSFER (TELEGRAPHIC TRANSFER)

Wateja wote watatuma pesa kwa SBT CO,LTD. tu
BENEFICIARY ACCOUNTS IN JAPAN

Malipo ya PayPal

HAKUNA GHARAMA ZA ZIADA UNAPOFANYA MALIPO KWA NJIA YA PAYPAL
muulize muwakilishi wako wa Mauzo kupata ankara ya malipo kwa
PAYPAL Baadaye utapata anuani ya akaunti ya PAYPAL

Hatua ya 4: Usafirishaji

Fuatilia usafirishaji

Hatua ya 5: Taratibu za Forodha

Kamilisha taratibu za Forodah