Jinsi ya Kununua

Hatua ya kwanza Chagua gari

chagua gari unalotaka kununua, Utafutaji katika hifadhi zetu mtandao wetu utakusaidia kutafuta toka katika hifadhi,Pia unaweza kubadilisha kuchagua kutokana na mahitaji unayopendelea. Maelezo ya picha na mchanganuo unaweza kuviona katika kila hifadhi.
Mtandao wetu wa kutafuta kutoka kwenye hifadhi ni: https://www.sbtjapan.com/sw/used-cars/

Hatua ya Pili. Utapata "huduma bure" au "Nunua Sasa"

Mara moja unaweza chagua gari, Unaweza chagua

"Utahudumiwa bure": Kwa wale wateja ambao wamesajiliwa lakini hawana historia ya kununua kutoka SBT na wale wapya ambao hawajasajiliwa.

- Kwa wateja waliosajiliwa: wanaweza ingia kwenye akaunti zao.
- Kwa wateja wapya: unatakiwa kuingiza maelezo yako katika dirisha la usajili.

"Nunua sasa": Kwa wateja wanaorudia na wako na historia au fedha zako zikiwa zimeifadhiwa SBT.

- Unatakiwa kuingia kwa kutumia akaunti yako, Baada ya kutaka " Nunua sasa" Hakikisha unaweka maelezo kwa usahihi kama " Nchi inayokwenda" au " Bandari" gharama za usafirishaji zitakuwa zimepungua. Ikiwa maelezo yote yemehakikiwa, utapokea ankara ya malipo.

Kumbuka: Hifadhi yako itakuwa ikifuatiliwa na afisa mauzo wetu kabla ya ankara ya malipo haijatumwa kwako. Tutawasiliana nawe kwa barua pepe au simu, ikiwa kama kuna maelezo muhimu yatahitajika au ikiwa kuna matatizo Yamejitokeza.

Hatua ya Tatu: Fanya Malipo

1. Pokea Ankara yako ya malipo.
Pokea Ankara yako ya malipo kupitia barua pepe yako na utoe nakala.
TAADHARI !
Tumekuwa tukiwashauri wateja wetu KUJIHADHARI NA UTAPELI WA BARUA PEPE juu ya malipo.
Fanya malipo kwa ANKARA TU kutoka kwenye E-mail address:
csd@sbtjapan.com

2. Malipo
Malipo yafanyike katika siku 5 za kazi baada ya kupokea ankara ya malipo.
· Uhamishaji kwa benki waya (Telegrahic Transfer)
Wateja wote wanatakiwa kutuma pesa SBT CO., LTD. mlengwa benki huko Japani
Itakuwa ikionekana katika ankara ya malipo, katika moja ya akaunti zifuatazo, ambayo unahitajika kulipa.

Mlengwa wa benki akaunti ( Maelezo ya benki yetu)

MUFG Bank, Ltd.

Beneficiary
SBT CO., LTD.
Branch
Yokohama Ekimae Branch
Swift Code
BOTKJPJT
Account Number
251-0008956xxxxxxx (seven alphabetic characters as per invoice)

or

Mizuho Bank Ltd.

Beneficiary
SBT CO., LTD.
Branch
Dai5Shuchu Branch
Swift Code
MHBKJPJT
Account Number
xxxxxxxxxx (10 numeric digits as per invoice)

or

You must use the following bank account when you buy local stock at Durban bond.

Standard Bank

Beneficiary
MAHASIMHAYA PTY LTD
Branch
Swift Code
SBZAZAJJ
Account Number
090833899

Mara umalizapo kulipia, tafadhani tutumie risiti iliyohakikiwa ya malipo na utume nakala kwa barua pepe:
 csd@sbtjapan.com
au
 Fax: +81-45-290-9486.
Hatutaanza utaratibu wa usafirishaji hadi malipo yawe yamepokelewa. Malipo kamili,kutokana na Makubaliano yetu, Lazima uwe wewe uweze pokea gari
Kwa maelezo juu ya usafirishaji na malipo, tafadhali soma mtandao wetu Terms of Use

3. Kufuta
Ikitokea malipo hayajawa yamepokelewa katika muda uliopangwa, Oda yako itafutwa na sehemu ya fedha zako zitarudishwa kwako (ikiwa zipo)

Hatua ya 4 : Fuatilia usafirishaji

Utapokea habari kuhusu maelezo a usafirishaji na habari nyingine kwa barua pepe.
Tafadhali ingia katika akaunti yako kwa mtandao wa SBT uweze kuhakiki tarehe ya kuondoka na tarehe kufika kupitia "My Account" ukurasa Ndani ya mtandao wetu
Baada ya kusafirisha gari yako, Tutakutumia nyaraka zote muhimu kwa DHL.
Tafadhali kuwa tayari AU jiandae kupokea gari yako katika Bandari ya kushushia/marudio.

Nyaraka Muhimu - Nyaraka zinazohitajika kupokea gari yako :
Cheti cha kusafirishia.:
Cheti halisi cha kusafirishia (Kijapani)
Cheti cha kusafirishia Kiingereza ( Tafasiri inatolewa na SBT)
Ankara ya Malipo ya kodi:
Hii nyaraka ni kwa ajili Idara ya Forodha kwa kuhakiki thamani ya gari
Bill of lading:
Unahitaji Bill of lading (BL) kupokea gari yako katika Bandari ya kushushia/marudio.
Nyaraki nyingine zinaweza kuwa zinatakiwa kutegemea na kanuni za Nchi yako . Tafadhali wajulishe wawakilihi wetu wa mauzo kwa nyaraka zinazohitajika.

Hatua ya 5 : Kamilisha Taratibu za Forodha

Tafadhali wasiliana na Afisa wa Forodha au Wakala wa Forodha wa nchi yako kukamilsha taratibu za forodha na kupokea gari lako.

Beware of Websites, SNS, E-Mails and Invoices impersonating SBT

Wapenzi wateja, Inathibitisha kuwa kuna tovuti, SNS, E-Mails na ankara kwa kutumia jina la SBT kwa uongo au majina yenye udanganyifu sawa na SBT.

Tafadhali kumbuka kuwa kampuni yetu haihusiani nao kabisa.

Tovuti ya kampuni yetu (SBT) ni "https://www.sbtjapan.com/".

Tafadhali bonyeza hapa kwa E-Mails na ankara.

Kundi la SBT pamoja na Kampuni ya SBT imeweka ishara ambayo itakomesha shughuli ambazo si za kutengeneza jamii bora na imekuwa ikichukua hatua za kutoa uhusiano ambao si wa kufainisha jamii. Imeandikisha pia kifungu ambacho kitaondoa hivi vitendo ambavyo si vya kuboresha katika mkataba wa manunuzi na kuuza.

Back to Top