Kufuatilia Gari.

Fuatilia Gari Lako Sasa

  • Are you worried about your car's details?
  • Track your shipment now! My Account →Unreleased Vehicles Here you GO!
  • ALL the details on your computer screen...

Fuatilia Gari Lako ni mtandao unaoweza kutumia kwa urahisi unao kujulisha maelezo kamili ya gari lako baada ya meli kung'oa nanga na B/L kutolewa. Mara gari linaposafirishwa na B/L kutolewa, unaweza kuingia kwa mtandao ukitumia kitambulisho chako cha barua pepe na neno lako la siri kwenye sehemu ya kuweka taarifa, na maelezo yote kamili yanayohitajika yataonyeshwa kwa muda wa sekunde chache.

  • Unaweza pia ukaangalia maelezo ya Magari yaliyotolewa:

Sasa unaweza kupata mahali (ma)gari lako liliko na nakala za nyaraka muhimu zilizoskaniwa kwa kubonyeza mara chache!

Mtandao huu wenye ufanisi na hekima utakupatia maelezo kuhusu:
・Hati ya kuuza nje ya nchi
・Tathmini nyaraka
・Tarehe kamili ya kusafirisha shehena
・Maelezo ya atakayepokea
・Nakala ya B/L
・Siku ya kuwasili
・Maelezo ya kusafirisha shehena

Huwa hatupokei kitu kingine chochote kipaombele ila Uadilifu na Uaminifu baina yetu na wateja wetu!