Sera ya mingi dhidi ya vikosi vya kupinga jamii

SBT CO., LTD. declares the following bainatangaza sera ya msingi dhidi ya uhalifu kutoka vikundi au watu binafsi (wanaoitwa vikosi vya kupambana na jamii (ASF)") ambao ufuata faida za kiuchumi kwa kutumia vurgu,kulazimisha na ulagahi.

  • tutashughulika na ASF kama shirika kulinda usalama wa wafanyakazi wetu wanashughulikia mahitaji yasiyofaa kwa ASF.
  • Tuatasitisha uhusiano wowte na ASF, pamoja na uhusiano wa kibiashara, na wafanayakasi wetu hufanya kazi kwa bidii kufanikisha.
  • Hatutatoa faida kamwe , na hatutafadhili shughuli haramu na ASF.
  • Ikiwa tutatambua madai yoyote yasiyofaa kutoka kwa ASF, tutashughulikia maombi na kuchukua hatua za kisheria na jinai dhidi yao.
  • Ili kujiondoa ASF na kujikinga na uharibifu unasababishwa na ASF, tutashirikian kwa karibu na ofisi ya Police ,wakili na wakala maalum nk.