Car Reviews
Muuza nje ya nchi wa magari yaliyotumika ya Kijapani SBT Japan
- Itaje, tunayo!
- Unaweza kujichagulia inayokufaa zaidi kutoka kwa magari zaidi ya 16,000ya kimataifa kutoka Japani, Korea, Marekani, Uingereza Ujerumani na Singapore.
- Utapata gari lako kama uko ndani ya sayari hii!
- Tunaweza kupeleka magari kokote nduniani, Afrika, Asia, Mashariki ya kati, Visiwa vya Karibiani, Australesia, Amerika Kusini na Ulaya. Tunayo maofisi kwa nchi 15.
- Kila wakati tuko ubavuni mwako kukusaidia!
- Wafanyakazi wenye heshima na bidii wako tayari 24/7/365 kuhudumia wateja kupitia gumzo za moja kwa moja, Skype, simu, na barua pepe.
- Ubora wa hali ya juu ndio fahari yetu!
- Usahihi na umakini wa ukaguzi kabla ya kusafirisha shehena unakuhakikishia hali bora zaidi unayofaa kutarajia.
- Tunachukulia "kasi" kama kiwango cha kimataifa.
- Usafirishaji wa haraka unakuwezesha kupata gari lako upesi kuliko matarajio yako bila kujali pahali ulipo.
- Kutegemewa ni kila wakati!
- Tumejenga viwango vya juu sana kwa biashara ya magari yaliyotumika kwa miaka 25, na kutia mkazo zaidi kwa "kutegemewa".